• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri na Cameroon zaahidi kuimarisha ushirikiano wa kijeshi

    (GMT+08:00) 2020-03-10 10:23:35

    Mnadhimu mkuu wa jeshi la Misri Bw. Mohamed Farid na mwenzake wa Cameroon Bw. Rene Claude Meka wamesisitiza kuimarisha uhusiano kati ya majeshi ya nchi hizo mbili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi la Misri, mkutano uliofanyika huko Cairo umejadili mada mbalimbali za maslahi ya pamoja ikiwemo kubadilishana na kupeana uzoefu kati ya majeshi hayo mawili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako