• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atembelea makazi ya wananchi na wafanyakazi wa mstari wa mbele mjini Wuhan

    (GMT+08:00) 2020-03-10 16:15:58

    Rais Xi Jinping wa China leo ametembelea wakazi waliowekwa kwenye karantini katika nyumba zao mjini Wuhan, baada ya kukagua kazi ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi vipya vya korona katika Hospitali ya Huoshenshan,

    Rais Xi ameelezwa juhudi za kijamii za kuzuia na kudhibiti mlipuko wa virusi hivyo, na pia kuhakikisha upatikanaji wa mahitaji ya kila siku kwa wananchi.

    Rais Xi ametuma salamu na shukrani kwa wakazi na wafanyakazi walio mstari wa mbele kupambana na virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako