• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wezi wa umeme kupigwa faini kali.

    (GMT+08:00) 2020-03-10 18:14:04

    Kampuni ya kusambaza umeme nchini Kenya ya Kenya Power, imetoa onyo kali kwa wote ambao wanatumia nguvu za umeme kwa njia ambazo si za halali. Kwenye ilani yao, Kenya Power inasema kwamba yeyote atakayepatina na hatia hiyo, atapigwa faini ya shilingi milioni tano pesa za Kenya ama kufungwa gerezani miaka mitano.

    Kuunganishwa kwa umeme kinyume na sheria nawizi wa stima, utagharimu mhusika shilingi milioni moja au kifungo cha mwaka mmoja gerezani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako