• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuzisaidia nchi za Afrika Mashariki kupambana na mlipuko wa nzige

    (GMT+08:00) 2020-03-10 20:40:38

    China imesema itapeleka kikosi kazi na kutoa msaada unaohitajika ili kusaidia nchi za Afrika Mashariki kukabiliana na mlipuko wa nzige unaohatarisha mazao ya kilimo.

    Wizara ya Kilimo na Masuala ya Vijiji nchini China imesema, katikati ya mwezi huu, kikosi kazi cha China kitaungana na mamlaka na wataalam katika nchi husika kusaidia kuzuia na kudhibiti mlipuko wa nzige wa jangwani, na kutoa msaada wa kiufundi na mahitaji yanayotakiwa.

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetabiri kuwa baa la nzige hao lililoanzia Afrika, linaweza kuendelea mpaka mwezi Juni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako