• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalam watoa wito wa juhudi zaidi katika afya ya akili wakati wa mlipuko wa COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-11 19:21:28

    Wataalam wa saikolojia wamesema juhudi endelevu katika afya ya akili zinahitajika kwa kuwa hali ya kisaikolojia ya watu inabadilika kuendana na mazingira ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vipya vya korona (COVID-19) nchini China.

    Mtaalam wa saikolojia kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Peking, Fang Xin amesema, jamii ya China imeendelea kuwa na utulivu kisaikolojia kutokana na umuhimu uliowekwa kwenye afya ya akili za watu wakati wa mlipuko huo.

    Ofisa wa ngazi ya juu wa Tume ya Afya ya Taifa ya China He Qinghua, jumla ya laini za simu 613 zimetolewa kwa watu watakaohitaji msaada wa kisaikolojia wakati wa mlipuko huo.

    Wataalam hao wanasema hayo kutokana na hatari za afya ya akili inayoweza kutokea wakati China ikiendelea kuanza tena kazi na uzalishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako