• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Cooperative ya Kenya yanunu Benki ya Jamii Bora

    (GMT+08:00) 2020-03-11 19:29:19

    Benki ya Cooperative nchini Kenya inapanga kununua benki ya jamii Bora ikiwa nio hatua ya kuikwamua benki hiyo ambayo inadaiwa kuwa katika hali mbaya ya kibiashara.Benki kuu ya Kenya ambayo imekuwa ikisiamamia shughuli za benki Kenya imepongeza hatua hiyo ikisema itapiga jeki sekta nzima ya benki nchini Kenya. Hata hivyo hatua hiyo inasubiri kuidhinshwa na mamlaka husika. Benki ya Cooperative ilianza oparesheni zake mwaka wa 1965 na inamilikiwa vuguvugu la vyama vya ushirika vya Kenya. Ilijumuishwa katika soko la hisa la Kenya mwaka wa 2008. Benki hiyo pia iliorodheshwa ya 39 katika daraja la soko Disemba mwaka jana na hivi sasa ina matawi mengi nchini Kenya ikiwemo Sudan Kusini.Nayo benki ya Jamii Bora ilianzishwa mwaka wa 2010.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako