• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TENISI: Fainali za Fed Cup zaahirishwa kutokana na virusi vya korona

    (GMT+08:00) 2020-03-12 10:11:21

    Michuano ya tenisi ya fainalia za Fed Cup inayoshirikisha timu 12 imeahirishwa kwasababu ya virusi vya korona. Michuano hiyo ilipangwa kufanyika katika kiwanja cha ndani cha Laszlo Papp huko Budapest kuanzia Aprili 14 hadi 19. Serikali ya Hungary imepiga marufuku mikusanyiko yenye Zaidi ya watu 100 kwenye viwanja vya ndani mapema jana muda mfupi baada ya bodi ya ITF kutoa maamuzi ya kuahirisha Fainali hizo. ITF imesema fainali hizo zitafanyika baadaye mwaka huu. Mechi za mtoano za mwezi Aprili pia zitaathirika, ikimaanisha kuwa mechi ya Uingereza huko Mexico pia imeahirishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako