• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yasema undaji wa baraza la mawaziri unaendelea

    (GMT+08:00) 2020-03-12 10:18:03

    Sudan Ksuini imesema uundaji wa baraza shirikishi la mawaziri chini ya serikali ya mpito unaendelea. Katibu mkuu wa serikali ya nchi hiyo Bw. Abdon Agaw Jok, amesema pande husika za serikali hiyo zimemaliza mapendekezo ya wajumbe wa baraza hilo. Amesema viongozi wameshakubaliana, na nyadhifa za uwaziri zimeshagawanywa, ingawa baadhi ya vyama vya kisiasa bado vinashughulikia uteuzi wa mawaziri wao ili kuweka njia ya kutangaza uundaji wa baraza katika siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako