• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Okoth kuanza mazoezi leo Alhamisi kwa ajili ya Olimpiki

    (GMT+08:00) 2020-03-12 17:19:18

    Nahodha wa timu ya taifa ya ndondi nchini Kenya Nick 'Commander' Okoth, ameanza mazoezi mepesi katika ukumbi wa St Teresa Nairobi leo Alhamisi. Okoth aliyefuzu kushiriki Michezo ya Olimpiki itakayoandaliwa Tokyo nchini Japan kuanzia Julai 24 hadi Agosti 8, amesema kwamba ataanza mazoezi mepesi kwa nia ya kujiweka sawa kabla ya mashindano haya. Okoth liyeanza safari yake ya mchezo wa ndondi katika ukumbi wa St Teresa chini ya kocha mkuu wa timu ya taifa Musa Benjamin, anasema madhumuni ya kuanza mazoezi katika ukumbi huo ni kurudisha mkono kwa klabu hiyo yake ya zamani baada ya kupata mafanikio katika mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako