• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • BASKETBALL: Msimu wa michuano ya mpira wa kikapu wasitishwa nchini Marekani

  (GMT+08:00) 2020-03-12 17:20:25

  Kesi za virusi vya korona nchini Marekani imefikia 1,200 mpaka saa saba usiku jana, ikiwa ni ongezeko la kesi 200 ndani ya saa 24, na kuifanya nchi hiyo kuwa ya nane kwa maambukizi ya COVID-19 duniani. Shirikisho la Mpira wa Vikapu (NBA) nchini humo limesitisha mashindano yake msimu huu baada ya mchezaji wa timu ya Uttah Jazz kukutwa na maambukizi ya virusi vya korona. NBA imesema itatumia muda huu kutathmini hatua za kufuata kuhusuana na mlipuko wa virusi hivyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako