• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FAO yaanza utafiti kuhusu chanjo ya ugonjwa wa miguu na midomo ya ng'ombe nchini Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-03-13 09:30:16

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Alhamisi limesema, limeanza utafiti kuhusu chanjo ya ugonjwa wa miguu na midomo unaowaathiri ng'ombe nchini Tanzania.

    Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na wizara ya mifugo na uvuvi ya Tanzania, ofisa mwandamizi wa FAO Bw. Moses Ole-Neselle, amesema watafiti wa mradi huu wamekusanya sampuli kutoka sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwa ajili ya uchunguzi.

    Bw. Ole-Neselle amesema utafiti huo unalenga kugundua chanjo ambayo itazuia kutokea tena kwa ugonjwa huo nchini Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako