• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OLIMPIKI: Rais wa Chama cha Riadha Duniani Sebastian Coe kwenda Tokyo kujadili michezo ya Olimpiki

    (GMT+08:00) 2020-03-13 12:12:44

    Wakati mlipuko wa virusi vya korona ukiikumba dunia, Waandaaji wa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo wamepata matumaini jana Alhamis kuwamba huenda rais wa Chama cha Riadha Duniani Sebastian Coe ataruhusu mashindano ya mbio yafanyike kwenye michezo hiyo. Kuna wasiwasi mkubwa kwamba Michezo ya Tokyo iliyopangwa kufanyika Julai 24 hadi Agosti 9, itaahirishwa au kufutwa kabisa wakati ambao COVID-19 inaendelea kuenea. Chama cha Riadha Duniani tayari kimelazimika kuahirisha michuano ya ndani ya mabingwa katika mji wa Nanjing hadi Machi 2021. Mashindano ya mabingwa ya mbio za nusu marathon ya Poland yamepelekwa mbele hadi Oktoba na mashindano mengi ya marathon duniani yatafutwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako