• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Aussems ataja kitakachoipoteza Simba SC

  (GMT+08:00) 2020-03-13 16:59:28

  Kocha wa zamani wa timu ya Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amefunguka licha ya timu hiyo kuendelea kufanya vizuri katika mechi za Ligi Kuu Bara lakini haoni nafasi yao ya kuweza kuvunja rekodi ya kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu ujao. Aussems ametoa kauli hiyo wakati Simba inaelekea kutetea ubingwa wa ligi kuu kufuatia kuongoza ligi ikiwa na pointi 71, ikifuatiwa na Azam FC yenye pointi 54. Aussems amesema kuwa kufanya vizuri kwenye ligi kwa timu hiyo hakuwezi kutoa picha ya wao kuweza kuvunja rekodi ya msimu uliopita kwenye michuano ya kimataifa kutokana na siasa za viongozi wa timu hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako