• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Muasisi wa soka la wanawake Tanzania aitaka heshima yake akiwa hai

    (GMT+08:00) 2020-03-13 16:55:16

    Muasisi wa soka la wanawake nchini Tanzania Alhaj Dk Maneno Tamba amewataka wadau wa soka kumuonyesha thamani na heshima yake kabla hajatangulia mbele za haki. Dk Tamba amesema kutokana na umuhimu na mchango wake katika hilo, ni vyema akapewa heshima hiyo sasa. Amesema hata anapokwenda uwanjani anajilipia kiingilio mwenyewe n ahata akifika getini, hubughudhiwa wakati ana mchango mkubwa katika soka la wanawake nchini Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako