• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki Kuu ya Marekani yapunguza kiwango cha riba kutokana na tishio la virusi vya korona

    (GMT+08:00) 2020-03-16 09:37:25

    Benki kuu ya Marekani jana ilipunguza kiwango cha riba kwa asilimia 1 na kufikia karibu na sifuri, na kuongeza dhamana zake kwa dola bilioni 700 za kimarekani, kutokana na mlipuko wa virusi vya korona. Benki hiyo imesema mlipuko wa virusi vya korona umeathiri jamii na shughuli za kiuchumi katika nchi nyingi ikiwemo Marekani, na kwamba hali ya kifedha duniani pia imeathiriwa vibaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako