• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yathibitisha watu wengine viwili walioambukizwa virusi vya Covid-19, na kutangaza shule kufungwa

  (GMT+08:00) 2020-03-16 09:54:51

  Rais Uhuru Kenyatta amethibitisha kupatikana kwa visa vingine viwili vya maambukizi ya virusi vya Korona nchini Kenya.

  Akihutubia Taifa jana Rais Kenyatta amesema watu hao wamethibitishwa baada uchunguzi uliofanywa kwa 27 waliokaribiana na mgonjwa wa kwanza wa virus hivyo nchini Kenya. Rais Kenyatta amesema vikundi vya madaktari vinawafuatilia kwa karibu watu waliokaribiana na mtu huyo. Mbali na hilo Rais Kenyatta pia amesitisha kuingia nchini Kenya kwa watu kutoka nchi zilizoathiriwa zaidi na maambukuzu ya virus via COVID-19 kwa siku 30.

  Wakati huo huo Rais Kenyatta ametangazwa kusitishwa masomo katika shule za kutwa za msingi na sekondari kuanzia leo na zile za bweni zikifungwa jumatano tarehe 18Machi. Vyuo Vikuu na vyuo vya kiufundi vitafungwa kufikia ijumaa wiki hii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako