• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • OLIMPIKI: Olimpiki kuendelea kama kawaida

  (GMT+08:00) 2020-03-16 16:08:43

  Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe amesema michezo ya Olimpiki ya Tokyo itafanyika Julai kama ilivyopangwa, licha ya mlipuko wa virusi vya korona ambavyo vimesababisha mashindano mengi ya michezo kuahirishwa sehemu mbalimbali duniani. Abe amesema Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) ndio ina maamuzi ya mwisho kama Tokyo 2020 itafanyika kama ilivyopangwa awali. Japan ina zaidi ya kesi 1,400 za corona huku watu 28 wakifariki kutokana na maambukizi ya virusi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako