• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kocha mahiri wa Uhispania, Francisco Garcia aaga dunia kutokana na coronavirus

  (GMT+08:00) 2020-03-17 16:12:31

  Ulimwengu wa soka unaomboleza kifo cha kocha wa Uhispania Francisco Garcia ambaye alifariki dunia baada ya kupatwa na virusi vya corona. Kocha huyo mwenye miaka 21 anasemekana alikuwa anafanya kazi katika timu ya Portada Alta, yenye makao yake Malaga hadi kifo chake. Garcia aligunduliwa kuwa na leukemia na alikimbizwa hospitalini kabla ya kuonyesha dalili za virusi vya corona. Inaaminika kuwa hali yake ya awali ndio huenda ilichangia katika mwili wake kushindwa kupambana na virusi hivyo huku maafisa wa afya wakidai huenda angepona.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako