• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya China yatoa vifaa elfu 10 vya kupima virusi vipya vya korona kwa Kenya

    (GMT+08:00) 2020-03-17 19:30:12

    Serikali ya China imetoa vifaa elfu 10 vya kupima virusi vipya vya korona kwa Kenya, ili kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na changamoto ya ongezeko la maambukizi ya virusi hivyo inayoweza kutokea katika siku zijazo, na pi imeahidi kutoa misaada zaidi kama Kenya ikihitaji.

    Hadi sasa watu watatu wemethibitishwa kuambukizwa virusi hivyo nchini Kenya, hivyo kuifanya serikali ya nchi hiyo kupiga marufuku wageni kuingia nchini humo isipokuwa wale wenye viza ya kikazi. Licha ya hayo, kuanzia leo shule za msingi na sekondari zimefungwa, na wafanyakazi wa idara za kiserikali na kamapuni wanahimizwa kufanya kazi wakiwa nyumbani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako