• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM waendelea kuisaidia Syria kwa njia ya kusafirisha vitu kuvuka mipaka

    (GMT+08:00) 2020-03-18 10:13:27

    Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Bw. Farhan Haq amesema Umoja huo unaendelea kuongeza juhudi katika kusafirisha vitu kwa kuvuka mipaka ili kukidhi mahitaji ya mamia na maelfu ya watu waliopoteza makazi yao kaskazini magharibi mwa Syria. Bw. Haq amesema katika siku 16 zilizopita za mwezi Machi, malori zaidi ya 650 yakiwa na chakula, vifaa vya makazi, maji na vifaa kwa ajili ya usafi yalikwenda kaskazini magharibi mwa Syria kupitia sehemu za mpaka za Bab al-Hawa na Bab al-Salam kutoka Uturuki, kwa idhini ya Baraza la Usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako