• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za SADC zahimizwa kupitisha makubaliano ya eneo la biashara huria la bara la Afrika

    (GMT+08:00) 2020-03-19 10:03:32

    Katibu mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC Bw. Stergomena Tax amezihimiza nchi wanachama wa jumuiya hiyo kupitisha na kujiunga na makubaliano ya eneo la biashara huria la bara la Afrika AfCFTA. Makubaliano hayo Machi 21 mwaka 2018 yalianzishwa na Umoja wa Afrika huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda, yakilenga kuharakisha biashara ndani ya Afrika na kuhimiza nafasi za biashara za Afrika katika soko la dunia kwa kuimarisha sauti na sera za pamoja za Afrika kwenye mazungumzo ya biashara ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako