• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapato ya mauzo ya maua nje ya Kenya kwa mwaka jana yapungua

    (GMT+08:00) 2020-03-19 10:03:49

    Kaimu mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya kilimo na chakula wa Kenya AFA Bw. Anthony Muriithi, amesema mapato ya mazuo ya maua katika nchi za nje kwa mwaka jana yalifikia dola bilioni 1.37 za kimarekani, yakipungua kutoka dola bilionia 1.47 za kimarekani za mwaka juzi. Amesema, kupungua huko kunatokana na kupungua kwa usafirishaji nje wa maua na mboga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako