• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Canada asema mpaka kati ya nchi hiyo na Marekani huenda utafungwa leo usiku

    (GMT+08:00) 2020-03-20 09:19:34

    Waziri mkuu wa Canada Bw. Justin Trudeau amesema, mpaka kati ya nchi hiyo na Marekani huenda utafungwa kwa safari zisizo za lazima kuanzia leo usiku, ili kuzuia kuenea kwa COVID-19. Bw. Trudeau amesema hayo mjini Ottawa ambako amejiweka karantini baada ya mkewe kuthibitika kuambukizwa virusi hivyo wiki iliyopita. Bw. Trudeau pia amesema, wanazungumza na Marekani juu ya mambo ya mwisho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako