• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nchi 34 za Afrika zaripoti wagonjwa 640 wa COVID-19

  (GMT+08:00) 2020-03-20 12:19:45

  Habari kutoka kituo cha kinga na udhibiti wa ugonjwa cha Afrika, zinasema kuwa mpaka sasa wagonjwa karibu 640 wameripotiwa katika nchi 34 za Afrika. Mkurugenzi wa kituo hicho Bw. John Nkengasong amesema, idadi ya vifo kutokana na ugonjwa huo imefikia 16 katika nchi 5 za Algeria, Burkina Faso, Misri, Morocco na Sudan. Amesema idadi ya wagonjwa imeongezeka kwa kasi ndani ya wiki moja, na kuonyesha hatari ya mlipuko wa virusi hivyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako