• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Siku 7 ngumu kwa wachezaji wa Simba

    (GMT+08:00) 2020-03-20 16:05:16

    Wachezaji na benchi la ufundi la Simba wamepewa siku saba tu za kupumzika kutokana na maambukizi ya virusi vya korona. Lakini ndani ya muda huo, wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa dhidi ya mambukizi na kuendelea na mazoezi. Moja ya masharti waliyopewa wachezaji ni kuhakikisha kuwa wanafanya mazoezi binafsi kila mmoja kufuatana na mpango aliopangiwa na Kocha Mkuu kutokana na mahitaji. Pia wameaswa kufanya starehe ambazo zinaweza kuathiri viwango na kuwatoa katika mstari wa mbio za ubingwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako