• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Arsenal yaishtukia Barcelona kwa Aubameyang

  (GMT+08:00) 2020-03-20 16:07:28

  Klabu ya Arsenal imegundua mchezo mchafu unaofanywa na Barcelona ambao wanatajwa kumshawishi mshambuliaji wao, Pierre-Emerick Aubameyang kujiunga na timu hiyo yenye maskani yake Camp Nou. Taarifa kutoka vyombo vya habari vya Hispania vinasema, straika huyo raia wa Gabon yupo tayari kujiunga Barcelona ili akaiongoze safu ya ushambuliaji hiyo na Lionel Messi. Arsenal inaamini Barcelona wanatumia watu wao kumshawishi straika huyo kuondoka Emirates ili kujiunga na mabingwa hao wa Ligi Kuu Hispania, La Liga.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako