• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Serbia asema wataalamu wa afya wa China ni raslimali yenye thamani kubwa katika mapambano dhidi ya COVID-19

  (GMT+08:00) 2020-03-23 10:18:48
  Waziri mkuu wa Serbia Bibi Ana Brnabic amesema, wataalamu wa afya wa China ni raslimali yenye thamani kubwa katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Bibi Brnabic amesema hayo alipokutana na wataalamu sita wa afya kutoka China, akiwa pamoja na waziri wa afya wa nchi hiyo Bw. Zlatibor Loncar na balozi wa China nchini Serbia Bw. Chen Bo. Bibi Brnabic amesema, virusi vya Corona bado vinatafitiwa, huku akisema nchi hiyo imeweka matumaini yake katika utaalam wa China.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako