Wawekezaji hawa wa viwanda vya sukari wanasema kwamba, gharama za kuwekeza katika uzalishaji wa sukari nyeupe ni kubwa ikilinganishwa na uhakika wa kupatikana kwa soko, na hivyo kuwa vigumu kuwekeza katika bidhaa hiyo. Serikali kupitia Wizara ya Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu idara ya Uwekezaji, itahakikisha inaweka mazingira bora kwa wawekezaji nchini ikiwamo kuweka miundombinu wezeshi, kama vile umeme wa uhakika nay a usafirishaji ili kuwaondolea vikwazo katika uwekezaji.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |