• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Mamlaka ya Bandari yaachilia makonena 18 ya Ethanol.

  (GMT+08:00) 2020-03-23 18:38:44
  Mamlaka ya Bandari nchini Kenya yameachilia makontena 18 ya ethanol ili itumiwe kutengeneza vieuzi kama ilivyoagiza serikali wiki jana. Hii inatokana na upungufu wa vieuzi ama sanitizers vinavyohitajika na wakenya kukabiliana na virusi vya corona.

  Mamlaka ya Bandari nchini yalikuwa na lita 396,000 za ethanol katika bandari ya Mombasa na kwenye baadhi ya matawi yake.

  Serikali imeagiza kampuni husika kutengeneza vieuzi na kuwasambazia wakenya wote bila malipo. Tayari kampuni za kutengeneza mafuta zimeitikia wito huu .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako