• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tiba ya Jadi ya Kichina TCM yafanya kazi kwa zaidi ya asilimia 90 ya wagonjwa wa virusi vya corona katika China bara

  (GMT+08:00) 2020-03-23 21:33:02

  Uchunguzi wa kimatibabu umeonesha kuwa Tiba ya Jadi ya Kichina TCM imethibitishwa kuwa na ufanisi kwa asilimia zaidi ya 90 ya wagonjwa wa COVID-19 waiopewa tiba hiyo katika China bara.

  Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mjini Wuhan, mkoa wa Hubei, mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC wa Mamlaka ya Tiba ya Jadi ya Kichina TCM ya China Yu Yanghong amesema, jumla ya wagonjwa 74,187 wa corona, sawa na asilimia 91.5 ya maambukizi yote ya virusi vya corona wametumia dawa za jadi za kichina, ambazo zilipunguza kwa ufanisi dalili, kasi ya maendeleo ya ugonjwa huo, kuongeza kiwango cha kupona na kupunguza kiwango cha vifo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako