• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China aongoza mkutano kuhusu virusi vya corona

  (GMT+08:00) 2020-03-23 21:37:04

  Waziri mkuu wa China Li Keqiang leo ameongoza mkutano wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC wa kikundi cha uongozi wa kazi za kukabiliana na virusi vya Corona.

  Mkutano huo umesisitiza kutekeleza mpango wa Kamati Kuu ya CPC wa kukabiliana na maambukizi ya ndani, na kuzidisha ushirikiano wa kimataifa, ili kuzuia maambukizi ya kuvuka mpaka, na kusaidia nchi nyingine kushinda ugonjwa huo. Aidha, mkutano huo pia umeagiza kurejesha uzalishaji kwa utaratibu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako