• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa fedha wa Afrika watoa wito kuratibu njia za kukabiliana na COVID-19 ili kupunguza athari kwa uchumi

    (GMT+08:00) 2020-03-24 10:00:08

    Mawaziri wa fedha wa nchi za Afrika wametoa wito kuratibisha taratibu za kukabiliana na virusi vya Corona, ili kupunguza athari mbaya zinazotokana na mlipuko wa virusi hivyo kwa uchumi na jamii za Afrika. Kamati ya uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa UNECA, imetoa taarifa ikisema mawaziri wa fedha wa nchi za Afrika ambao walikutana katika mkutano kuhusu virusi vya Corona, wamebadilishana maoni kuhusu juhudi za serikali katika kushughulikia athari za virusi hivyo kwa uchumi na jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako