• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Chirwa aliamsha tena Yanga

  (GMT+08:00) 2020-03-24 16:01:14

  Mshambuliaji wa timu ya Azam FC, Obrey Chirwa ameipeleka klabu yake ya zamani Yanga katika Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kutokana na madai ya fedha anazoidai timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili aliyokuwa akiichezea kuanzia mwaka 2016 hadi 2018.Chirwa amesema baada ya kuondoka Yanga na kwenda timu ya Nogoom FC ta Misri, aliuandikia barua uongozi wa timu hiyo kuomba pesa zake ambazo alitakiwa kupewa katika kipindi anasaini mkataba pamoja na nyingine alizotakiwa kupewa akiwa ndani ya mkataba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako