• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kutoa sera ya kuunga mkono usafirishaji wa kimataifa wa bidhaa kwa ndege

    (GMT+08:00) 2020-03-24 20:48:28

    Waziri mkuu wa China Li Keqiang leo ameendesha mkutano wa Baraza la Serikali la China, ambao umeamua hatua za kuhimiza sekta za uzalishaji na uchukuzi kurejesha kazi za kawaida huku zikizingatia kwa makini kazi za kukinga maambukizi ya virusi vya Corona, na kuendelea kuboresha uwezo wa usafirishaji wa kimataifa wa bidhaa kwa ndege.

    Mkutano huo umeagiza forodha za uwanja wa kimataifa wa ndege katika sehemu zilizoendelea kufanya kazi saa 24 kwa siku, kuboresha miundombinu ya viwanja vya ndege, na kuhimiza ujenzi wa viwanja vya ndege vinavyotoa kipaumbele uwezo wa uchukuzi wa mizigo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako