• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki ya AfDB imerejesha uhusiano na Somalia baada ya madeni yote kulipwa

  (GMT+08:00) 2020-03-25 10:24:11

  Benki ya Maendeleo ya Afrika imerejesha uhusiano na Somalia baada ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuilipia deni la dola milioni 122.55 za kimarekani. Benki hiyo imesema, hatua hiyo ambayo ni alama ya mwisho wa vikwazo na kurejeshwa kwa uhusiano kati ya benki hiyo na Somalia ni hatua ya kihistoria kwa nchi hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako