• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda na Kenya zafanya mazungumzo kuhusu kupunguza utoaji wa mafuta

  (GMT+08:00) 2020-03-25 10:25:10

  Waziri wa fedha wa Uganda Bw. Matia Kasaija amesema, nchi hiyo inafanya mazungumzo na Kenya kuhusu kupungua kwa utoaji wa mafuta. Bw. Kasaija ameliambia bunge kuwa akiba ya mafuta ya Uganda inaendelea kupungua kutokana na kupungua kwa manunuzi ya mafuta kutoka bandari ya Mombasa ya Kenya. Amesema, wamewasiliana na serikali ya Kenya na wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha utoaji wa petroli na dizeli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako