• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China kuhudhuria mkutano maalum wa kilele wa G20 kuhusu virusi vya Corona

  (GMT+08:00) 2020-03-25 16:38:18

  Rais Xi Jinping wa China atahudhuria mkutano maalum wa viongozi wa kundi la G20 kuhusu maambukizi ya virusi vya corona utakaofanyika kesho Alhamisi hapa Beijing.

  Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying amesema mkutano huo utakaofanyika kwa njia ya video utaandaliwa na Saudi Arabia, ambayo ni nchi mwenyekiti wa zamu wa kundi hilo kwa mwaka 2020.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako