• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Wakulima kusini mwa bonde la ufa walalamikia uvamizi wa nzige

  (GMT+08:00) 2020-03-25 19:39:25

  Wakulima katika eneo la Kusini mwa bonde la ufa nchini Kenya wamelalamikia kuzuka upya kwa kundi kubwa la nzige.

  Wamesema wana wasiwasi kuwa uvamizi huo unaweza kusababisha hasraa na njaa, ikizingatiwa kwamba unyunyizaji dawa ya kuua wadudu hao umesimamishwa kwa muda.

  Jumapili, kundi kubwa la wadudu hao lilionekana katika Shamba la Mukinyai huko Elburgon, Kaunti ya Nakuru, na siku mbili baadaye serikali ya Kaunti ya Samburu itakatangza kuwa kundi hilo liliongezeka mara tatu ndani ya wiki moja.

  Pia wadudu hao wameonekana katika sehemu kadhaa za kaunti za Laikipia na Nyandarua, na kusababisha hofu miongoni mwa wakulima.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako