• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Shirika la nyumba lawapa muda wa siku 30 wapangaji kulipa

    (GMT+08:00) 2020-03-25 19:40:06

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limetoa mwezi mmoja kwa wapangaji wake 265 nchini waliohama na wanaoendelea na upangaji kulipa madeni yao kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

    Tangazo linasema wadaiwa wote waliohama na wanaoendelea kuishi wameacha deni la Sh. trilioni 1.399.

    Taarifa hiyo ilitaja wapangaji waliohama na kuacha madeni katika mikoa husika na kiasi wanachodaiwa kuwa ni Arusha Sh. bilioni 9.253, Dodoma Sh. bilioni 5.606, Ilala Sh. bilioni 964, Iringa Sh. bilioni 1.992 na Kigoma Sh. milioni 399.

    Mingine ni Kilimanjaro Sh. bilioni 15.973 na Kinondoni Sh. bilioni 115.462.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako