• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kimenuka Yanga GSM yaondoa misaada yake klabuni hapo

  (GMT+08:00) 2020-03-26 09:41:40

  Kampuni ya GSM ambayo ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC imeiandikia barua klabu hiyo na kueleza kuwa imesitisha huduma zote ilizokuwa inazitoa kwa club hiyo nje ya mkataba wao kwa sababu ya kutuhumiwa kuwa inapora madaraka ya viongozi wa Yanga.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako