• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Safari za ndege kuanza tena mjini Wuhan

  (GMT+08:00) 2020-03-26 10:56:52

  Naibu mkuu wa Idara ya uchukuzi ya mkoa wa Hubei Bw. Wang Benju amesema kuanzia tarehe 8 mwezi Aprili, baadhi ya safari za ndege zitaanza tena mjini Wuhan.

  Bw. Wang ameongeza kuwa idara yake imewasilisha ombi la kuanzisha tena safari za ndege wa abiria mkoani humo, lakini hazihusishi safari za ndege za kimataifa na safari kati ya Hubei na Beijing. Mbali na hayo, mkoa wa Hubei pia utarudisha tena usafiri wa ndege za mizigo za ndani na za kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako