• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto watano waliwa na fisi ndani ya miezi mitatu nchini Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-03-26 10:58:07

    Watoto zaidi ya watano wameuawa na kuliwa na fisi katika sehemu ya Nyang'wale iliyoko katika kanda ya Geita, Tanzania. Mkuu wa wilaya ya ya Nyang'wale Bw. Hamimu Gwiyama, amesema fisi hao wamevamia maeneo ya makazi na kuwaua na kuwala watoto kuanzia mwezi Januari hadi katikati ya mwezi wa Machi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako