• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kikao cha kwanza cha bunge jipya la Msumbiji chafunguliwa katika hali ya maambukizi ya COVID-19

  (GMT+08:00) 2020-03-26 10:58:23

  Kikao cha kwanza cha kawaida cha bunge la tisa la Msumbiji kimefunguliwa leo, ambacho kimevutia ufuatiliaji kuhusu athari zinazoletwa na maambukizi ya virusi vya Corona dhidi ya uchumi, huku kikishuhudia kutokuwepo kwa wabunge zaidi ya kumi. Kwenye ufunguzi wa kikao hicho mwenyekiti wa bunge hilo Bw. Esperanca Bias amesema, serikali inatakiwa kuweka kipaumbele katika maslahi ya umma ili kupunguza athari zinazoletwa na maambukizi ya COVID-19 kwa uchumi wa dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako