Rais João Manuel Gonçalves Lourenço wa Angola ametoa amri ya rais ikitangaza kuwa nchi hiyo itaingia katika hali ya dharura kuanzia kesho, ili kukabiliana na maambukizi ya COVID-19. Amri hiyo imesema, kutokana na hali ya sasa ya maambukizi ya COVID-19, nchi hiyo itaingia katika hali ya dharura ya siku 15.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |