• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maabara iliyojengwa na China yazinduliwa huko Baghdad ili kuzuia mlipuko wa virusi vya Corona

  (GMT+08:00) 2020-03-26 10:58:55

  Maabara mpya ya PCR iliyojengwa na timu ya wataalamu wa China imezinduliwa huko Baghdad, ikiwa sehemu ya uungaji mkono wa China kwa Iraq katika juhudi za kuzuia mlipuko wa virusi vya Corona. Balozi wa China nchini Iraq Bw. Zhang Tao kwenye uzinduzi wa maabara hiyo amesema, maambukizi ya COVID-19 ni adui wa pamoja kwa binadamu wote, na China inatilia maanani katika ushirikiano wa kimataifa kupambana na virusi hivyo. Ameongeza kuwa kutokana na msingi huo, wametuma timu ya matibabu ya watu saba na kutoa msaada mkubwa wa tiba kwa Iraq.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako