• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona Iran yazidi 2,000

  (GMT+08:00) 2020-03-26 10:59:51

  Wizara ya afya na elimu ya matibabu ya Iran imeripoti kuwa idadi ya vifo vinavyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo imefikia 2,077, huku idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi hivyo ikiongezeka hadi kufikia 27,017, na 9,624 kati yao wamepona.

  Iran ambayo ilithibitisha maambukizi ya kwanza Februari 19, ni nchi inayoathiriwa zaidi na virusi vya Corona katika eneo la Mashariki ya Kati mpaka sasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako