• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wachuuzi wafurushwa Nyeri,Kenya kuzuia msongamano na mtagusano wa binadamu

  (GMT+08:00) 2020-03-26 19:32:50

  Kufuatia janga la maambukizi ya virusi vya Corona ,wachuuzi na wanaofanya biashara ndogondogo katika mitaa ya Nyeri,eneo la kati la Kenya,wamefurushwa ili kupunguza msongamano wa watu.

  Wachuuzi wote na wafanyabiashara ndogondogo walifurushwa jana kutoka mtaa wa Gakere na kuamrishwa kufunga biashara zao hadi muda usiojulikana.

  Mtaa huo umeonekana kuwa eneo hatari huku taifa likipambana kudhibiti usambazaji wa virusi vya Corona.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako