• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Xi Jinping ahudhuria mkutano maalum wa viongozi wa G20 kuhusu virusi vya corona

  (GMT+08:00) 2020-03-26 20:17:36
  Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amehudhuria mkutano maalum wa viongozi wa kundi la G20 kuhusu kukabiliana na virusi vya corona.

  Mkutano huo umeandaliwa na nchi mwenyekiti wa zamu wa kundi hilo Saudi Arabia kwa njia ya video, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi wanachama, nchi waalikwa na mashirika ya kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako