• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi atoa wito kwa nchi zote duniani kupambana na virusi vya corona

  (GMT+08:00) 2020-03-26 21:29:36

  Rais Xi amesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa inatakiwa kuchukua hatua kwa haraka, ili kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona.

  Rais Xi amesema China inashikilia mtazamo wa kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja. Pia China inapenda kutoa hatua zenye ufanisi kwa nchi husika kuhusu kukinga na kudhibiti virusi hivyo, kufanya ushirikiano kuhusu utafiti na uendelezaji wa dawa na chanjo, na pia kutoa msaada kwa nchi zinazoathiriwa zaidi na virusi hivyo kadri inavyoweza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako