• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi: China yaunga mkono WHO kufanya kazi kubwa katika kupambana na virusi vya corona

  (GMT+08:00) 2020-03-26 21:39:56

  Rais Xi Jinping wa China amesema China inaunga mkono Shirika la Afya Duniani WHO kuonesha uongozi wake, kutunga hatua sahihi za kukinga na kudhibiti virusi vya Corona kwa njia ya kisayansi, na kuzuia kuenea kwa virusi kati ya nchi. Amesema kundi la G20 linapaswa kubadilishana taarifa zaidi kuhusu habari za kupambana na maambukizi ya virusi hivyo, kutoa miongozo ya hatua zenye ufanisi na za pande zote, na kuandaa mikutano ya ngazi ya juu kuhusu usalama wa afya ya umma duniani katika wakati mwafaka. Amesisitiza kuwa China itashirikiana na kuziunga mkono nchi husika na mashirika ya kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako